Mwanzo 2:18

"Bwana Mungu akasema, si vema mtu huyu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

Familia ya Mch. Dr Daudi & Mrs Elizabeth Ndekeja

Tunayo furaha na heshima kukukaribisha kuweza na kushiriki kwenye sherehe ya ndoa na harusi ya kijana wetu

John Ndekeja
anayefunga ndoa na
Mariam Rodrick
Ndoa:
Juni 7, 2026 • Busanda SDA Church
Sherehe:
Juni 8, 2026 • Beroya SDA Church - Katoro, Geita
Kiasi Kinachotakiwa
TZS 8,000,000
Jumla ya Cash
TZS 0
Jumla ya Ahadi
TZS 0
Ahadi Yako
Bado hujaweka
Mwisho wa michango: 04 Jun 2026
Ukiwa kama sehemu ya familia yetu, tunaomba ufadhili wako kupitia:
  • M-Pesa +255 765 936 454 (Jina: Daudi Magumba Ndekeja)
  • CRDB Bank 0152482245301 (Jina: Daudi Magumba Ndekeja)
Tunashukuru sana kwa maombi na mchango wako